Rais Jakaya Kikwete amefanya
mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Sudan, Omar Bashir, kuhusu kuuawa
na kujeruhiwa kwa askari wa Tanzania, walioko katika ulinzi wa
kimataifa wa amani katika jimbo la Darfur.
Taarifa ya
Ikulu iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana, imeeleza kuwa katika
mazungumzo hayo, Rais Kikwete alimtaka Rais Bashir kuchukua hatua za
haraka kuwasaka na kuwakamata
↧