STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mwanaume wa kupita
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kwa sasa
yupo huru kutoka na mtu yeyote ampendaye kutokana na sheria na dini
inavyosema ila kwa sasa shughuli za kuigiza zimembana.
‘Nahitaji mume
na si mwanaume wa kupita, awe mvumilivu, mchapakazi pia awe na
↧