Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba
pambano la ngumi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi
wa bifu lao.
Akipiongea na mwandishi wetu, Baby alisema amechoshwa
kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke,
wakutane kwa ngumi ili amuoneshe cha mtema kuni.
“Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye,
↧