<!-- adsense -->
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la
furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa
ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.
Mapenzi au tendo
la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia
tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia
↧