Mwaka 2013 utakuwa na surprise nyingi sana... So far tumeshapata
surprise kibao ikiwemo ile ya jana ya promoter na Mkurugenzi wa
Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma kuingia kwenye hip hop
na kurekodi wimbo mmoja aliomshirikisha Young Killa.Surprise
zinaendelea na sasa inakuja bombshell nyingine. Kwa mujibu wa mtangazaji
wa Take One ya Clouds TV, Zamaradi Mketema,
↧