Wanasayansi wa maabara ya Bristol Robotics Uingereza wamegundua njia ya
kutumia mkojo kama chanzo cha kuzalisha umeme wa kuchaji betri za simu,
na kudai kuwa wa kwanza kutengeneza “the world’s first microbial fuel
cells (MFC) powered mobile phone”.
Watafiti hao walielezea juu ya ugunduzi wao kupitia jarida la ‘Physical Chemistry Chemical Physics’.
Dr Ioannis Ieropoulos
↧