Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe
Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa
Mitego bila kuwaambia, mama mzazi wa Baghdad amekuja hadharani na
kumuombea msamaha mwanae.Mama huyo ameongea leo kwenye segment
ya 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu nia yake ya kutaka
kumaliza tofauti zilizopo kati ya mwanae na Chidi.Mama
↧