CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekuja juu na kuitaka Serikali kuangalia
njia nyingine mbadala ya kukusanya kodi na kuachana na mpango wa kuanza
kuwatoza wananchi tozo ya Sh 1,000 kila mwezi kwa kila laini ya simu ya
kiganjani.
Hatua hiyo, inatokana na kilio cha wananchi ambao tangu Bunge la
Bajeti kwa mwaka 2013/14 kupitisha sheria hiyo, kumekuwa na manung’uniko
mengi.Uamuzi huo,
↧