Habari iliyoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima ikimhusisha Prof. Lipumba na udini imewachefua CUF na kuwafanya watoe waraka mkali wakiita Serikali kulichukulia hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini..
Chama hicho kimedai kuwa Lengo la Gazeti la Tanzania Daima na Mwandishi wake ni kupandisha hasira za Waislam
<<HABARI IKO HAPA>>
------------------------
↧