Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama
ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati …
Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo
ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao …
Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …
<!-- adsense -->
↧