“Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka
leo katika mtandao wa Instagram.
Hata hivyo mashabiki wengi
wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka katika
mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Haya ni baadhi ya maoni:
nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt.
princesswawiey R
↧