Serikali yahimizwa kuhamishia makao makuu Dodoma
SERIKALI imesisitiza agizo lake la kusitisha ujenzi wa ofisi za wizara na taasisi zake katika jiji la Dar es Salaam badala yake uelekezwe mjini Dodoma, ikiwa ni hatua ya kuhamishia makao makuu mjini...
View ArticleWafanyabishara Mwanza waazimia kugoma siku za kesi ya Mwenyekiti wao
Siku chache baada ya mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Johnson Minja kufikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Dodoma akikabiliwa na kesi ya kudaiwa kushawishi...
View ArticleAfisa Elimu Mbinga avuliwa madaraka
BARAZA la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma limemvua madaraka afisa elimu msingi wa wilaya hiyo Daniel Mkali baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa muda kwa tuhuma mbalimbali...
View ArticleBunge lataka mawaziri wazembe wawajibike
Baadhi ya wabunge wamechachamaa na kuwashukia baadhi ya mawaziri na watendaji wa serikali kwa kuzembea katika utendaji wao jambo linalosababisha upotevu wa mabilioni ya shilingi na kulisababishia...
View ArticleMume Amcharanga Mapanga Mkewe, kisa Kachelewa Kupata Ujauzito
Mtu mmoja mwanamume, aliyetajwa kwa jina la John Weghai amemjeruhi vibaya mke wake, Anastazia John (18) kwa kumkatakata na mapanga kwa kile kinachodaiwa kuchelewa kwake kupata ujauzito, katika maisha...
View ArticleUnyama: Mume Amchinja Kikatili Mkewe ndani ya Hoteli jijini Dar......Ampasua...
Huu ni ukatili namba moja kwa wanandoa duniani! Bado picha haijatoka kichwani kwa wakazi wa Manzese jijini Dar kufuatia kifo cha kuchinjwa cha Josephine Ndengaleo Mushi kinachodaiwa kufanywa na mume...
View ArticleMahakama ya Kadhi bado "pasua kichwa"
Umoja wa Wainjilisti wa Kikisto Tanzania (Uwakita), umemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) kuuondoa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria vinginevyo utazunguka nchi nzima kuwahamasisha waumini wake...
View ArticleKituo kingine cha polisi chavamiwa.....Majambazi Yapora Bunduki, Risasi 30 na...
Kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamevamia na kuvunja stoo ya Kituo kidogo cha Polisi Mngeta, Kilombero na kuiba bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30. Majambazi hao pia wanadaiwa...
View ArticleSerikali: "Tanesco haiwezi kushusha bei kwa sasa"
KUSHUKA kwa bei ya mafuta katika soko la dunia hakujawapa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) unafuu wa kuwafanya washushe bei ya umeme. Aidha, serikali imesema haifumbii macho suala hilo na...
View ArticleWajawazito wajifungulia sakafuni kijiji cha Msisi-Dodoma
WAJAWAZITO katika Kijiji cha Msisi wilayani Bahi, mkoani Dodoma wanajifungulia sakafuni kwenye jengo la wazi, hali inayosababisha kukosa faragha. Kutokana na kadhia hiyo, Mkuu wa Wilaya hiyo, Betty...
View ArticleKupe Wakubwa Watumika kukabiliana na Ukeketaji
Wanawake wa Kimasai wanaopinga suala la tohara kwa watoto wamegundua njia nyingine ya kukabiliana na ukeketaji kwa kutumia kupe wakubwa. Hayo yalielezwa katika warsha ya kujipanga kupokea mradi wa...
View ArticleFedha Zakwamisha kukamilika Mradi wa DART
Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) unakabiliwa na changamoto ya kifedha katika ujenzi wa miundombinu, kutokana na ongezeko la mahitaji ya fedha za kuukamilisha. Bunge lilielezwa...
View ArticleKipindupindu chaua Watano Kigoma, 170 Taabani
Mlipuko wa kipindupindu ulioukumba mkoa wa Kigoma, umesababisha vifo vya watu watano, huku wengine zaidi ya 170 wakilazwa hospitalini. Hayo yalithibitishwa mjini hapa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,...
View ArticleBei ya MAFUTA Yazidi Kuporomoka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka. Mwezi...
View ArticleBunge Lamshambulia Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) kwa kukwamisha Juhudi...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) imetajwa kudhoofisha juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kutokana na ama kuchelewesha au kutokutoa vibali vya kufikisha...
View ArticleMwanasheria Mkuu wa Serikali amesema Mahakama ya Kadhi itakayoanzishwa...
Mwanasheria mkuu wa serikali Mh. George Masaju amesema mahakama ya kadhi itakayoanzishwa kisheria haitahudumiwa na serikali na itakuwa ya hiari kwa waumini wa dini ya kiislamu watakaoiridhia katika...
View ArticlePolisi Tabora yamkamata mtuhumiwa sugu wa Ujambazi
Jeshi la polisi mkoani Tabora limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa matukio ya uhalifu katika kata ya Ngambo manispaa ya Tabora, akiwa na risasi 356 za silaha za SMG/SAR, zinazosadikiwa kuwa, zilikuwa...
View ArticleShamsa Achukia Kuitwa Mshamba
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku. Akizungumza na GPL, Shamsa alisema...
View ArticleRais Kikwete Afichua SIRI Kipigo cha Lipumba.....Asema sheria za nchi lazima...
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa...
View ArticleRugemalira wa IPTL sasa ‘mikononi’ mwa Takukuru
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imemhoji na inaendelea kumchunguza mmiliki mwenza wa zamani wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), James...
View Article