WAJAWAZITO katika Kijiji cha Msisi wilayani Bahi, mkoani Dodoma wanajifungulia sakafuni kwenye jengo la wazi, hali inayosababisha kukosa faragha.
Kutokana na kadhia hiyo, Mkuu wa Wilaya hiyo, Betty Mkwasa ameahidi kutoa Sh 500,000 kwa ajili ya kuchangia ujenzi za chumba cha kujifungulia akinamama hao.
Hayo yalibainishwa hivi karibuni wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa
↧