Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.
Mwezi uliopita, kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu, bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa ilishuka kwa kiasi kikubwa, mathalani bei ikifikia chini ya Sh 2,000. Na jana, bei ya juu kabisa ya
↧