Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) imetajwa kudhoofisha juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kutokana na ama kuchelewesha au kutokutoa vibali vya kufikisha mahakamani kesi kwa makosa makubwa ya rushwa.
Bunge limeambiwa kwamba gharama nyingi za serikali, zimekuwa zikitumika katika kufanya uchunguzi wa tuhuma za rushwa, lakini majalada yanapowasilishwa
↧