Mwanasheria
mkuu wa serikali Mh. George Masaju amesema mahakama ya kadhi
itakayoanzishwa kisheria haitahudumiwa na serikali na itakuwa ya hiari
kwa waumini wa dini ya kiislamu watakaoiridhia katika masuala ya ndoa,
talaka, mirathi pamoja na wakfu na kutaka wanasiasa kuacha kukuza
mijadala ya suala hilo kwa maslahi yao binafsi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na vyombo vya habari
↧