SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa
Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete
amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na
atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam,
alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya
↧