Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema
imemhoji na inaendelea kumchunguza mmiliki mwenza wa zamani wa Kampuni
ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), James
Rugemalira.
Akizungumza na Mwananchi jana, Mkurugenzi
Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah alisema vigogo wote waliohusika na
sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ya
↧