Imeelezwa kuwa imani za kishirikina ndiyo
chanzo cha walimu kushindwa kufundisha maeneo ya vijijini pindi
wanapopangiwa kutokana na kutishiwa maisha wanapotoa adhabu kwa
wanafunzi wao.
Mratibu Elimu Kata ya Mvomero, Malonga
Dilukwili alisema hayo jana alipozungumza na walimu, maofisa watendaji
wa vijiji na madiwani kwenye mafunzo ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha
katika elimu
↧