Mchumba wa Barnaba, Zubeda amesema anafurahia maisha yake na mpenzi wake Barnaba na kwamba watafunga ndoa hivi karibuni.
Zubeda ameiambia Mpekuzi kuwa mipango ya ndoa imekamilika na kwamba wanasubiri kuamua tarehe tu.
“Tayari ameshatoa pesa ya barua pamoja na mahari, kwahiyo bado tu
kupanga tarehe ya ndoa,” amesema Mama Steve.
“Barua alitoa toka mwaka
jana na pesa ya mahari
↧