AY ni muasisi wa mambo mengi. Ndiye msanii wa kwanza kufanya collabo
na wasanii wakubwa wa Afrika na kwingine na pia ndiye aliyeanza
kutengeneza video zenye gharama kubwa.
Rapper huyo ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya, Zigo ametaja
mambo kadhaa yanayowafelisha wasanii wengi wa Tanzania kushindwa kutoboa
kimataifa.
“Watu wengi wapunguze kuongea.Tusiwe waoga, tuwe na
↧