Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond
Platnumz juzi kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano
usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam
Misago.
Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.”
Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago.
“Diamond
↧