Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na
wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo
sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”
amesema mrembo huyo.
“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale
↧