Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya
watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka
misele nyakati za usiku.
Akizungumza na GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao
kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho
hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.
“Mimi sijawahi
↧