EWURA yatakiwa kufanya upya ukokotoaji na kupunguza bei ya mafuta ili...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kumsaidia mlaji wa mwisho wa bidhaa hiyo...
View ArticleJWTZ yaapa kupambana na majambazi wanao pora silaha za askari
Jeshi la wananchi nchini (JWTZ) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama nchini limeahidi kukabiliana na makundi ya watu wanaodaiwa kuwa majambazi sugu ambao wanapora silaha za askari huku...
View Article"Tupige kura ya NDIYO Katiba inayopendekezwa"- Rais Kikwete
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete amewataka watanzania wote kujitokeza na kuipigia Kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa...
View ArticleProf. Lipumba Awataka Wananchi Kutowachukia Polisi
Chama cha Wananchi CUF kimewataka wananchi kutowachukia polisi kufuatia kitendo cha kutotenda haki kwa raia ikiwemo kuwabambikizia kesi mbalimbali na kuwashushia vipigo bila sababu zozote. Hayo...
View ArticleRais ajaye Asipotoka CCM Nchi Itayumba - Kikwete
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu....
View ArticleMbowe Asimikwa UTEMI wa Kabila la Wasukuma.....Asisitiza msimamo wa CHADEMA...
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimesisitiza msimamo wake wa kutoshiriki kwenye mchakato wa kupiga kura ya maoni ya katiba mpya inayopendekezwa na badala yake kimewataka wanachama wake na...
View ArticleHoteli Zafungwa Arusha kwa Kukosa Watalii
Baadhi ya hoteli za kitalii mjini Arusha zimefungwa, huku mishahara ya wafanyakazi ikipunguzwa kwa asilimia 25, kutokana na kukosa watalii. Akizungumza wakati wa tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya...
View ArticleWatanzania Wahimizwa Kula Mayai ya Kwale
Watanzania wamehimizwa kutumia mayai ya ndege aina ya kwale na nyama yake kwa kuwa ni chakula bora chenye virutubisho mbalimbali. Ushauri huo ulitolewa na mfugaji wa kwale ambaye ni mkazi wa Tegeta,...
View ArticleWabunge Waomba Wanaume Wafungwe Kizazi
Wabunge wametaka kuwepo na udhibiti wa ongezeko la watu nchini kwa kutaka wanaume wadhitibiwe katika uzazi, kama ilivyo kwa wanawake huku wengine wakitaka serikali kuboresha rasilimali bila kudhibiti...
View ArticleRUSHWA: Magufuli Awafukuza Kazi Wafanyakazi 400 wa Mizani, Asema huo ni...
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo imekithiri....
View ArticleMahakama ya Kadhi, Ripoti ya Msola Kutikisa Bunge
Bunge linaendelea na mkutano wake wa 18, ambao kamati mbalimbali zitaendelea kuwasilisha taarifa kwa ajili ya majadiliano. Licha ya kamati za kisekta na zisizo za kisekta, kabla ya Bunge kuahirishwa...
View ArticleWanafunzi wajawazito kuendelea na masomo wakijifungua
Serikali imeruhusu wanafunzi wa shule za msingi na sekondari waliopata ujauzito kuendelea na masomo wanapojifungua. Mratibu wa Masuala ya Jinsia wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Chimpaye...
View ArticlePolisi achomoka lindo na bunduki kwenda Kuua Raia
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, limeingia katika kashfa baada ya askari wake kutuhumiwa kumuua raia. Raia huyo ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mdonga, fundi wa magari, Januari Mtitu (20),...
View ArticleMahabusu Afia Kituo cha Polisi Ubungo- Urafiki baada ya Kujitundika na...
Mahabusu mmoja Shabani Ramadhani (28), amekutwa amejinyonga katika choo cha Kituo cha Polisi Ubungo- Urafiki, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo lilitokea jana baada ya mahabusu huyo kufikishwa katika...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleKanngi Lugola ( CCM ) Awasha moto bungeni.....Awataka wananchi Wasiichague CCM
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe kama maji hayatapatikana jimboni mwake wakati...
View ArticleFrancis Cheka Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela
Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake iliyopo...
View ArticleZitto Kabwe Amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu AJIUZULU...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye...
View ArticleMahakama kuandika hukumu kwa Kiswahili
WIZARA ya Katiba na Sheria imesema iko haja ya hukumu zinazotolewa katika Mahakama nchini, ziandikwe katika Kiswahili kuwezesha haki kutendeka na ionekane imetendeka. Naibu Waziri, Ummy Mwalimu...
View Article"Mabilioni" ya Kikwete bado hayajarejeshwa
FEDHA zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kuwezesha wananchi kiuchumi maarufu kama mabilioni ya Kikwete, imeelezwa sehemu hazikutumika huku nyingine zilizokopwa hadi sasa hazijarejeshwa. Waziri wa...
View Article