Baadhi ya hoteli za kitalii mjini Arusha zimefungwa, huku mishahara ya wafanyakazi ikipunguzwa kwa asilimia 25, kutokana na kukosa watalii.
Akizungumza wakati wa tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya 2015, zilizoandaliwa na Chama cha Mawakala wa Watalii Nchini (TATO), Mwenyekiti wa chama hicho, Willy Chambulo alisema hali ya biashara kwa miezi hii mbaya na kusababisha kufungwa kwa baadhi ya
↧