Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimesisitiza msimamo wake
wa kutoshiriki kwenye mchakato wa kupiga kura ya maoni ya katiba mpya
inayopendekezwa na badala yake kimewataka wanachama wake na watanzania
kwa ujumla kuelekeza nguvu kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu
unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Kikisisitiza msimamo huo uliotolewa hivi karibuni na
↧