Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete amewaagiza viongozi
wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda katika
uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt
Kikwete ametoa agizo hilo katika uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo
zimefanyika sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.
Akimnukuu mwalimu Nyerere, amesema kuwa Rais
↧