Chama cha Wananchi CUF kimewataka wananchi kutowachukia polisi kufuatia
kitendo cha kutotenda haki kwa raia ikiwemo kuwabambikizia kesi
mbalimbali na kuwashushia vipigo bila sababu zozote.
Hayo
yalisemwa na mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba
alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mapema jana jijini Dar es
Salaam.
Hata hivyo Profesa Lipumba amesema
↧