Watanzania wamehimizwa kutumia mayai ya ndege aina ya kwale na nyama yake kwa kuwa ni chakula bora chenye virutubisho mbalimbali.
Ushauri huo ulitolewa na mfugaji wa kwale ambaye ni mkazi wa Tegeta, Dar es Salaam, Susan Magibo alipokuwa akizungumza na Mpekuzi.
Magibo alisema ndege hao hivi sasa ni gumzo hapa nchini, kwani inasadikiwa kuwa ni dawa ya magonjwa mbalimbali kama pumu,
↧