Wabunge wametaka kuwepo na udhibiti wa ongezeko la watu nchini kwa kutaka wanaume wadhitibiwe katika uzazi, kama ilivyo kwa wanawake huku wengine wakitaka serikali kuboresha rasilimali bila kudhibiti uzazi.
Miongoni mwa waliotaka wanaume wafungwe kizazi kama inavyofanyika kwa wanawake ni Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki, Celina Kombani ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
↧