KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kumsaidia mlaji wa mwisho wa bidhaa hiyo kunufaika na punguzo la bei ya mafuta duniani.
Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo, Mbunge wa Tandahimba, Juma Njwayo (CCM) kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati hiyo
↧
EWURA yatakiwa kufanya upya ukokotoaji na kupunguza bei ya mafuta ili kumnusuru mwananchi wa kawaida
↧