Jeshi la wananchi nchini (JWTZ) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama nchini limeahidi kukabiliana na makundi ya watu wanaodaiwa kuwa majambazi sugu ambao wanapora silaha za askari huku wengine wakiuawa hatua ambayo imeanza kutishia usalama wa nchi.
Akizungumza jijini Tanga kufuatia hivi karibuni makundi hayo kupora silaha na kisha kuua askari huko Rufiji mkoani Pwani na
↧