Jeshi
la polisi nchini limefanikiwa kuwakamata watu 96 wengi wao wakiwa ni
raia wa nchi jirani ya burundi, wanaotuhumiwa kujihusisha na ujangili
kwenye hifadhi ya taifa ya Katavi ikiwa ni pamoja na mapori mbalimbali
ya akiba (Game Reserve) mkoani Katavi, na kukutwa na silaha nne pamoja
na risasi 118 na Radio Call kwa ajili ya mawasiliano.
Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Katavi
↧