ASKARI
mmoja wa wanyama pori na msaidizi wake wameuawa kwa kupigwa mawe,
mapanga, marungu na nondo na wananchi katika kijiji cha Namonge Wilayani
Bukombe Mkoani Geita wakituhumiwa kuwa majambazi na tayari watu 24
wanashikiliwa akiwemo Afisa mtendaji wa kijijij hicho.
Tukio hilo limetokea jana jioni baada ya wananchi hao kuhamasishana
wakakusanyika na kuivunja ofisi ya Serikali ya
↧