Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo leo
amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa wizara hiyo George Simbachawene.
Katika
makabidhiano hayo, Prof Muhongo ameonya juu ya matumizi mabaya ya Ofisi
yanayoambatana na rushwa ili kuwasaidia watanzania masikini wanaoitegemea
sekta hiyo kwa maendeleo ya uchumi wao.
Muhongo amemuasa Simbachawene juu ya umakini na
↧