MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), jana alimshambulia
kwa maneno makali Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi,
Paul Chagonja, kuwa anaweza kuwa anashirikiana na majambazi wanaovamia
vituo vya polisi na kupora silaha.
Lema alitoa maneno hayo makali ya kumshambulia Chagonja bungeni jana,
wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali Kuu
↧