Watu wawili wamefariki dunia baada ya kimbunga kupiga katika
Kisiwa cha Goziba na kusababisha baadhi ya mitumbwi kupinduka katika
Ziwa Victoria.
Kimbunga hicho kilitokea juzi saa tano asubuhi wakati wakazi mbalimbali wakiwa katika shughuli zao.
Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Rembris Kipuyo alisema jana kuwa, majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera.
Alisema
↧