Jumuiya ya Vijana ya CUF (JUVICUF) imemtaka Waziri wa Mambo ya
Ndani, Mathias Chikawe kufuta kesi zote zilizofungliwa kutokana na tukio
lililotokea mapema wiki hii la viongozi wa chama hicho na wafuasi
kupigwa na kukamatwa na polisi.
Jumuiya hiyo, pia
imesema kuwa itaandaa maandamano nchi nzima kulaani vitendo vya
ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na askari wa Jeshi la
↧