Mahabusu
mmoja Shabani Ramadhani (28), amekutwa amejinyonga katika choo cha
Kituo cha Polisi Ubungo- Urafiki, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana baada ya mahabusu huyo kufikishwa katika kituo hicho juzi akituhumiwa kufanya tukio la unyang’anyi.
Kaimu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Augustino Senga, alithibitisha
kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa marehemu
↧