MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili
na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika
gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye hifadhi la
sivyo ajiuzulu cheo chake.
Zitto ameyasema hayo leo wakati akichangia kwenye majadiliano ya hoja za kamati bungeni.
Zitto amesema kuwa serikali inapoteza shilingi bilioni
↧