MBUNGE wa
Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa
atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe
kama maji hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika
majiadiliano ya hoja za kamati bungeni leo.
Pia Lugola
amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa
Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji
↧