Kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamevamia na
kuvunja stoo ya Kituo kidogo cha Polisi Mngeta, Kilombero na kuiba
bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Majambazi hao pia wanadaiwa kuiba jenereta, redio, viti, betri ya gari na spika ya redio.
Akizunguzia
tukio hilo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul
alisema uporaji huo ulitokea usiku wa Februari
↧