Umoja wa Wainjilisti wa Kikisto Tanzania
(Uwakita), umemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) kuuondoa
Muswada wa Mabadiliko ya Sheria vinginevyo utazunguka nchi nzima
kuwahamasisha waumini wake kuipigia kura ya hapana Katiba
Inayopendekezwa.
Wiki hii, Serikali inakusudia
kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria
mbalimbali wa Mwaka 2014 unaopendekeza,
↧