Baadhi ya wabunge wamechachamaa na kuwashukia baadhi ya mawaziri na
watendaji wa serikali kwa kuzembea katika utendaji wao jambo
linalosababisha upotevu wa mabilioni ya shilingi na kulisababishia taifa
hasara.
Wabunge
hao wameongeza pia kuwa umasikini na ugumu wa maisha kwa wananchi kwa
kuongezewa kodi na tozo mbalimbali kunasababishwa na uzembe wa viongozi
wachache wa serikalini.
↧