BARAZA
la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma limemvua
madaraka afisa elimu msingi wa wilaya hiyo Daniel Mkali baada ya
kufanyiwa uchunguzi kwa muda kwa tuhuma mbalimbali zilizotajwa na baadhi
ya madiwani pamoja na viongozi wa idara hiyo ya elimu msingi na
kuelekea kutishia kuibuka kwa mgogoro wilayani humo.
Akitangaza uamuzi huo wa kumvua wadhifa huo pamoja na
↧