Siku
chache baada ya mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania
Johnson Minja kufikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya
Dodoma akikabiliwa na kesi ya kudaiwa kushawishi wafanyabiashara kutenda
kosa la jinai la kutolipa kodi na kudaiwa kuzuia ukusanyaji wa kodi kwa
kutumia mashine za kodi za kielektroniki (EFD’s ), wafanyabiashara wa
kati na wadogo zaidi ya 600 wenye
↧