Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) unakabiliwa na changamoto ya kifedha katika ujenzi wa miundombinu, kutokana na ongezeko la mahitaji ya fedha za kuukamilisha.
Bunge lilielezwa kwamba ongezeko la mahitaji ya fedha za kukamilisha mradi huo ni Sh bilioni 64.7, ambazo kati yake Sh bilioni 20.6 ni ongezeko la mishahara na Sh bilioni 44.1 ni ongezeko la kazi na madai
↧