GK asema Diva ndiye mpenzi wake bora kuliko wote aliowahi kuwa nao
Rapper wa East Coast Team, King Crazy GK amefunguka na kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanadada Diva Loveness Love. Akizungumza na kipindi cha Mkasi kupitia EATV Jumatatu (Jan.12), GK...
View ArticleT-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye...
Mfalme wa Auto-Tune, T-Pain kutoka Marekani anatarajia kuja Tanzania mwezi ujao na kutumbuiza jijini Mwanza, kwenye tamasha la uzinduzi wa radio mpya iitwayo Jembe Fm ya jijini humo. T-Pain ambaye...
View ArticleMtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu
Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu. AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, amesema kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu...
View ArticleKundi la Bracket lakanusha uvumi uliosambaa Nigeria kuwa wao ni mashoga
Members wa kundi la Bracket ambao hivi karibuni wamemshirikisha staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwenye wimbo wao mpya, wamekanusha uvumi uliosambaa Nigeria kuwa wao ni mashoga. Kwa mujibu wa...
View ArticlePicha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola
Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola. Jana waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao walipokea zawadi za...
View ArticleJokate Akanusha Kutoka Kimapenzi na Millard Ayo
Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM. Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo...
View ArticleEAC yatimiza malengo iliyojiwekea 2014/2015
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt Richard Sezbera amesema jumuiya hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana na changamoto za kisiasa, kiuchumi na kijamii...
View ArticleWanusurika kifo wakiiba saruji, Ngara
Zaidi ya watu 50 wamenusurika kifo katika ajali ya moto wakati wakijaribu kupora saruji kwenye gari la mizigo lililopasuka tairi moja ya mbele na kusababisha mlipuko mkubwa wa moto kwenye tenki la...
View ArticlePolisi Mara yakamata watu 2 kwa wizi wa mtoto
Jeshi la polisi mkoa wa Mara kwa kushirikiana na wenzao wa nchi jirani ya Kenya wamefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kumwiba mtoto Diana Meshack mwenye...
View ArticleMfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na...
JINA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na...
View ArticleRais Kikwete: Shutuma dhidi ya Tanzania na DRC ni za kupuuzwa
Tanzania imesema kuwa ni jambo la kusadikika na kufikirika tu kwa baadhi ya watu kudai kuwa haiko tayari kukabiliana na vikundi vya uasi na ugaidi (negative forces) vilivyobakia vikivuruga amani na...
View Article‘Upelelezi kesi ya Shehe Farid haujakamilika’
UPELELEZI wa kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake bado haujakamilika. Wakili Mkuu wa Serikali...
View ArticleWananchi wampongeza Rais kwa kufuta Ada
WANANCHI wa Zanzibar wameipongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya kufuta ada za shule kwa wanafunzi wa msingi Unguja na Pemba, ambapo itasaidia kuwawezesha wanafunzi...
View ArticleAua mke kwa rungu kwa tuhuma za wivu wa mapenzi.
WATU wawili wamekufa mkoani Singida katika matukio tofauti yaliyotokea hivi karibuni, likiwemo la mwanamke mmoja kupigwa na rungu na mumewe kutokana na kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi....
View ArticleJe, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa...
Je una mwili mwembamba na unataka kuongeza na kunenepesha mwili wako ? Umedhoofika kutokana na maradhi mbalimbali na unataka kurejesha afya yako na mwili wako ? Unataka...
View ArticleMahakama yatoa siku saba hati ya Halima Mdee kurekebishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kufanya marekebisho ya hati ya mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
View ArticleTanesco yakiri madudu kwenye ununuzi wa Luku
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limekiri kuwa na tatizo la huduma ya ununuzi ya Luku na kuomba radhi kwa wateja wake. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Naibu Mkurugenzi...
View ArticleWapiga Ramli ( Waganga wa Jadi ) wapigwa marufuku kuokoa 'Albino'
Katika kukabilina na matukio ya mauaji na ukatwaji viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi 'Albinisim' ambayo yameanza tena kushika kasi mwishoni mwa mwaka jana serikali imepiga marufuku wapiga ramli...
View ArticleSBL Yamzawadia mkazi wa Mbagala Limo Bajaji ya 5
Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries leo imetoa zawadi ya Limo Bajaji kwa Bw. Mfaume Hassan Lwembe (43) ambaye ni dereva taxi na mkazi wa Mbagala katika kampeni yake inayoendelea ya “Tutoke na...
View ArticleBaada ya Sakata la Escrow, Tibaijuka Anaswa Akiwa PEKU
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyeondolewa ofisini hivi karibuni kutokana na sakata la Tegeta Escrow, Anna Tibaijuka, hivi karibuni amenaswa akiwatembelea watu wanaosadikiwa kuwa...
View Article