Rapper wa East Coast Team, King Crazy GK amefunguka na kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanadada Diva Loveness Love.
Akizungumza na kipindi cha Mkasi kupitia EATV Jumatatu (Jan.12), GK
alisema Diva ni mpenzi wake bora kuliko wapenzi wake waliopita, huku
akidai kuwa mitandao ya kijamii imechangia ku-boost penzi lao.
“inawezekana, kwa sababu ni mwema kwanza halafu na
↧